zanzibardaima.net
Miaka 52 ya Muungano, mimi kama shahidi
Watanzania wanaadhimisha miaka 52 ya Muungano wao wa Tanganyika na Zanzibar. Hongera. Siku 104 nyuma kutoka sasa Watanzania pia waliadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Namshukuru Mwenyezi …