zanzibardaima.net
Kwa nini tunataka Muungano wa Mkataba
Binaadamu wanapoungana au kufanya umoja wa aina yo yote huwa wanayo shabaha ya kuunda muungano au/na umoja huo. Vitendo vyao vyote huwa vina shabaha hiyo moja; yaani kusudi la kuunda muungano huo v…