zanzibardaima.net
Dk. Shein, Wazanzibari hawakuikataa SUK, walikukataa wewe
Takribani wiki tatu zilizopita, nilimtabiria Dk. Ali Mohamed Shein kuwa ataiishi miaka yake hii mitano kwenye Ikulu ya Mnazi Mmoja kwa mateso makubwa nafsini mwake. Nilitumia taswira ya mtu ajitaza…