zanzibardaima.net
Uzalendo ni kutetea maamuzi ya umma, sio ya kidikteta
Kwa hili la Mfuko wa Ushirikiano kwa Changamoto za Mileni wa Marekani (MCC) na wahisani wengine kujitoa katika kuisaidia Jamhiri ya Muungano wa Tanzania, tusimtafute mchawi ni nani. Uchawi tumejifa…