zanzibardaima.net
Zanzibar: Twataka wizara ya ubabe na tashtiti
NILIONA ni vyema kwenda Zanzibar kuadhimisha sikukuu adhimu ya Pasaka. Matumaini yangu yalikuwa pia kupata wasaa wa kutathmini hali ya hewa baada ya Uchaguzi wa Marejeo uliofanyika tarehe 20 Machi …