zanzibardaima.net
Wanadhulumu na wanataka washangiliwe
HUWAJE jamii inayolazimishwa iukubali uongo au ihalalishe haramu? Imenibidi nijiulize swali hilo na nilitafakari kutokana na ule uitwao “uchaguzi wa marudio” uliofanywa Zanzibar Jumapili iliyopita,…