zanzibardaima.net
Dk. Shein, kioo kitakuambia wewe ni Ali tu
Jumatatu ya tarehe 21 Machi 2016, Dk. Ali Mohamed Shein ataamka mapema kisha atasimama mbele ya kioo chake kujiangalia. Ile taswira kwenye kioo itamuambia: “Wewe ni Ali tu!” Mwangwi wa …