zanzibardaima.net
Damu ya Habil yalia kutoka ardhini
Ninapoyaona yanayoendelea kutendwa na jeshi letu la polisi dhidi ya raia, natafakari sana, nikikumbuka mengi na kisha najiuliza faida ya yote haya ni nini? Madaraka tu? Matumizi ya nguvu, ubabe, am…