zanzibardaima.net
Siku Dk. Shein alipowaimbisha “Sisi Sote Tumegomboka!”
Kama kuna jambo linatuunganisha Wazanzibari licha ya tafauti zetu za kisiasa, ni hiyo hiyo siasa yenyewe. Tunatakhitalifiana kwenye kuyatafsiri mambo fulani fulani kwenye siasa na zaidi kwenye hist…