zanzibardaima.net
‘Lolote lisilotokea kwengineko, hutokea Z’bar’
Kwa jicho langu la kisanii natamani sana kadhia ya Uchaguzi wa Marejeo niitungie hadithi fupi. Naamini itakuwa tamu sana na hapana shaka mhusika wake mkuu atakuwa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi …