zanzibardaima.net
Jecha anapoendeleza sifa ya Zanzibar kuwa taifa la kuweka na kuvunja rikodi za kihistoria
Je, unajuwa kuwa Ukristo uliingia kwanza Zanzibar kabla ya kusambaa kwenye maeneo yote ya ndani ya Afrika Mashariki na Kati? Hiyo ilikuwa mwaka 1448. Unakumbuka kuwa jengo la Baitul-Ajab la pale Fo…