zanzibardaima.net
‘Tangazo la Jecha haliifanyi haramu kuwa halali’
Chama cha Wananchi (CUF) kimekanusha vikali kauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kwamba chama hicho hakijawahi kujitoa kwenye uchaguzi wa marudio alioupanga…