zanzibardaima.net
Kutana na Eddy Riyami, bingwa wa ‘facts and figures’
Unahitaji kukutana na Eddy Riyami mara moja, siku moja na takriban mkazungumza kwa kiasi cha dakika tano na atabaki kichwani kwako. Hakuna sehemu utayaoingia katika historia na siasa za Zanzibar ik…