zanzibardaima.net
‘CUF haikuwa na sababu za kula kiapo cha kujitoa mahakamani’
Chama cha Wananchi (CUF) kinasema kinashangazwa na hatua ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, kuwalazimisha waliokuwa wagombea wa uchaguzi mkuu halali wa tarehe 2…