zanzibardaima.net
‘Mgogoro’ katika ushairi wa Kiswahili
Mgogoro” katika ushairi wa Kiswahili umekuwapo kwa zaidi ya miaka kumi sasa. Una misingi yake katika utata wa mambo mawili: (i) Maana ya jumla ya shairi (ii) Maana ya shairi la Kiswahili.