zanzibardaima.net
Wana macho hawaoni, wana masikio hawasikii
ALFAJIRI ya Ijumaa iliyopita, Rais John Pombe Magufuli aliamka na tabasamu ya aina yake. Palipopambazuka alikuwa amekwishatimiza siku zake 100 za mwanzo tangu ashike hatamu za uongozi wa taifa.