zanzibardaima.net
Kofia tatu za Jaji Ramadhani zinazoweza kuivuusha Zanzibar
Ni zaidi ya mwezi wa tatu sasa tangu kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika 25 Oktoba mwaka jana, tukio ambalo limevitia visiwa vyetu kwenye mtihani na wasiwasi mkubwa kuwahi kabisa kuto…