zanzibardaima.net
Ya Zanzibar; udikteta ni vitendo
John Pombe Magufuli amenza na mguu mzuri katika uongozi wake japokuwa watu wanaomtakia mema yeye binafsi na Taifa hili wataendelea kumueleza ukweli kwa kadri itakavyowezekana, mtu mwenye nia njema …