zanzibardaima.net
Jeuri ya Z’bar kutaka kuanzisha benki kuu ilivyozimwa
RAIS Abeid Amani Karume wa Zanzibar, siku zote hakufurahia muundo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (baadaye ukaitwa Tanzania) ulivyokuwa, tangu ulipoanzishwa, Aprili 26, 1964 hadi kifo chake, …