zanzibardaima.net
Kikwete azungumza asichokiamini akitutaka tumuamini
Nimekua nikitafakari matamshi ya hivi juzi tu na hotuba ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jakaya Khalfani Mrisho Kikwete mkoani Singida alipokuwa akizungumza kwa kiburi na kusema uchaguzi …