zanzibardaima.net
Magufuli ni wale wale lakini Zanzibar nayo ni ile ile
Kichwani mwangu najenga picha ya jinsi mazungumzo kati ya Rais John Magufuli na watangulizi wake wawili, Jakaya Kikwete wa awamu ya nne na Benjamin Mkapa wa awamu ya tatu, yalivyokuwa na kile ambac…