zanzibardaima.net
Yatima wa kimataifa ni mzigo wa Magufuli
YANAYOJIRI sasa Zanzibar yamenifanya niyakumbuke ya Algeria ya miaka ya 1990, ingawa hali za nchi hizo mbili, pamoja na siasa zao, ni tofauti. Juu ya tofauti hizo, kuna ya kujifunza kutoka Algeria …