zanzibardaima.net
Rais Magufuli, unaifumbia macho dhuluma na hatutakuelewa
Katika makala hii, nakusudia kupitia machache katika maneno ya hekima na busara yaliyowahi kusemwa na wanafikara na wanaharakati wa ukombozi duniani kuhusu uhalisia wa saikolojia ya mkandamizaji na…