zanzibardaima.net
Baina ya Sahrawi, Timor ya Mashariki na Zanzibar pana mstari mwembamba
Mwaka 2005 nilialikwa na Shirika la Utamaduni na Sayansi la Umoja wa Mataifa (UNESCO) kuwa sehemu ya timu ya vijana wanaokaribia 20 kutoka maeneo yanayofanana duniani kote, kushiriki semina juu ya …