zanzibardaima.net
Kwa la Zanzibar, Rais Magufuli hawezi kujifanya hahusiki
Makala ya Mheshimiwa Pius Msekwa, Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hapana shaka kada mkubwa wa Chama tawala cha Mapinduzi (CCM), iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii…