zanzibardaima.net
CCM ‘iwatose’ wabaguzi kwa maslahi ya demokrasia Zanzibar
Mimi ni zao la Zanzibar. Ni matokeo ya maelfu ya pepo za msimu zilizowapeperusha watu wa madau kutoka duniani kote kuja kwenye visiwa hivi viduchu vilivyochipuka katika maji vuguvugu ya Bahari ya H…