zanzibardaima.net
“Sisi ni waungwana lakini si dhaifu” – Maalim Seif
Ni bahati mbaya sana kwamba wengine wanauchukulia uungwana na ustaarabu wetu kwamba labda ni dalili ya udhaifu na wanadhani labda wanaweza kutuburuza. Kwa hilo, nawaambia wazi kwamba WASAHAU. Natak…