zanzibardaima.net
Mabadiliko hayaji kirahisi, lakini hayazuiliki
Napenda kuelezea machache tu kwa wale wote ambao ni wepesi wa mioyo yao na wanajisahau kuwa sisi Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla tupo katika mapambano na harakati za kimageuzi katika nchi yetu…