zanzibardaima.net
Hebu tudurusu ‘ufisadi’ wa Lowassa na ‘usafi’ wa Magufuli
NITAANZA makala yangu ya wiki hii kwa kurejea swali nililoliuliza mwishoni mwa ile ya wiki iliyopita:Je, nakisi ya usafi na kithiri ya ufisadi ni kutokana na nafsi au nafasi? Mtu aliye “msafi” akij…