zanzibardaima.net
Wa 2015 sio tu uchaguzi mkuu, bali uchaguzi mkubwa kwa Z’bar
Kama halitotokea la kutokea, basi tarehe 25 Oktoba mwaka huu Wazanzibari wataelekea tena kwenye vituo vya kupigia kura kushiriki katika uchaguzi wa tano wa vyama vingi tangu mfumo huo uliporejeshwa…