zanzibardaima.net
Serikali ijibu fumbo la lugha ya kufundishia nchini
Je, lugha ipi itumike kufundishia elimu ya msingi? Hili ni swali ambalo kwa muda mrefu limekuwa likiibua mijadala katika duru za kisomi na ndani ya jamii kwa jumla.