zanzibardaima.net
CCM mpigo ni uleule, nje na ndani ya chama
KUNA moja tu litaloweza kukinusuru Chama cha Mapinduzi (CCM) kisiporomoke katika Uchaguzi Mkuu ujao: upinzani uliogawika na unaopigana wenyewe kwa wenyewe badala ya kujumlisha nguvu zao pamoja dhid…