zanzibardaima.net
Zanzibar itavuna nini rais wa Muungano akiwa Jaji Ramadhani?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni merikebu inayoelea shelabela katika bahari iliyochafuka. Imo safarini, ikipanda na kushuka juu ya mawimbi yenye hasira, ikiwa haijui tena iendako au hata ilikopanga kwe…