zanzibardaima.net
Sitta ajiumbua mwenyewe
NILIPONUKUU maneno aliyoniambia Samwel John Sitta kupitia simu ya mkononi (rudia makala iliyopita), sikujua bwanamkubwa huyu ana kiburi cha kupindukia mpaka.