zanzibardaima.net
TAABINI: Salim Mzee, “mzee wa Calypso” 1916-2015
WENGINE wakimwita “Maalim Salim”, wengi wakimwita “Sheikh Salim” na wakisikia anaitwa “Maalim” wakishangaa kwa sababu walikuwa hawajui kwamba Salim Mzee, aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita akiwa na…