zanzibardaima.net
Kina Membe wajiandae kuangushwa Z’bar
NILITULIA kumsikiliza Bernard Kamilius Membe akitangaza nia ya kuusaka urais wa Tanzania. Ilikuwa na maana kubwa kwangu kwa sababu kada huyu mwenye nguvu na kachero aliyejijenga nyumbani na ughaibu…