zanzibardaima.net
Boflo ya CCM Zanzibar inapojaa sisimizi
Kwa wale walaji wa mikate ya kiasili ya Kizanzibari, maarufu kama boflo, wanafahamu ambacho hutokea pale mkate huo unapovamiwa na umma wa sisimizi. Hususan pale mlaji wa mkate huo anapokuwa na njaa…