zanzibardaima.net
Wanaoapa kutotoa nchi kwa ‘vikaratasi’ wapime kasi ya wimbi
Tuacheni utashi wa maslahi binafsi na tuwekeni mbele utashi wa maslahi ya umma zaidi. Dk. Shein na Maalim Seif, wawili nyinyi ndio tuliowachagua kushika dola mwaka 2010 ili mtuongoze kwa amani na t…