zanzibardaima.net
Ukuwaji na maharibiko ya Kiswahili
Yumkini changamoto kubwa kuliko zote kwa wapenzi wa lugha ya Kiswahili ni kuiendeleza lugha hiyo na wakati wakiingiza maneno na miundo ya lugha za kigeni zilizo mbali kabisa na utamaduni wa Mswahil…