zanzibardaima.net
Unasibu kwenye YU-A-WA
Wananadharia wa lugha wanakubaliana kwamba lugha ni sauti za nasibu, yaani sauti za kubahatisha. Kwa mfano, ni suala la sadfa tu kwamba sauti ‘e’ ikichanganywa na ‘mbe’ inak…