zanzibardaima.net
Wasiwasi wakulima wa Micheweni
` WAKULIMA wa mpunga wa bonde la ‘Kinyakuzi’ shehia ya Kinowe, wamekumbwa na wasiwasi mkubwa wa kukosa mavuno mazuri, baada ya mbegu aina ya ‘bikensupa’ waliopewa kutofumua (kuchanua) viuzri.…