zanzibardaima.net
Uhusiano wa Zanzibar na India waimarika
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema serikali inathamini sana mchango unaotolewa na serikali ya India katika kukuza uchumi na ustawi wa wananchi wa Zanzibar.