zanzibardaima.net
Ingelikuwaje Nyerere angelikuwa Mzanzibari?
TANZANIA tuliyonayo sasa ni kati ya ishara ioneshayo kuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliishi juu ya ardhi hii ya Mungu Muumba. Hatuwezi kuizungumzia Tanzania – chimbuko, asili, mafaniki…