zanzibardaima.net
CCM haina ubavu wa kuwabana mafisadi – Slaa
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Willibrod Slaa amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake hawana ubavu wa kupambana na mafisadi nchini kwa kuwa wao ndiyo walioch…