zanzibardaima.net
Changamoto za sasa zinazoikabili SUKZ
(Imechukuliwa kutoka mtandao wa kijamii wa Facebook) Mtazamo wangu ni tafauti na wengi walionitangulia, ila turudi katika malalamiko dhidi ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUKZ). Kwa jinsi hali ili…