zanzibardaima.net
Mzanzibari kukataa Muungano sawa, lakini kuikataa sensa hapana!
Na Ahmed Omar (kutoka ukurasa wa Facebook) Wapingaji wa sensa kwa upande wa Zanzibar ni miongoni mwa vinara waliounga mkono wazo la Maalim Seif na Amani karume kwamba tuwaunganishe watu, tusiwagawe…