zanzibardaima.net
Polisi wanapochafua amani watu walindwe na nani?
Na Ahmed Rajab, Raia Mwema, 25 Julai 2012 KUNA simulizi mbili zenye kukinzana kuhusu vurugu zilizozuka Zanzibar Ijumaa iliyopita ya Julai 20. Siku hiyo kuanzia saa za alasiri hadi kupindukia saa si…