zanzibardaima.net
Wasaidizi wanamsaidia au wanamwangusha Rais?
SIAMINI kama kutokuwepo kwangu katika mkutano wa waandishi wa habari na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein kulipunguza mvuto wa mkutano. Ni kweli sikuwepo, na baadhi ya waliogundua kwa kutonio…