zanzibardaima.net
Umoja wa Kitaifa
Wamezuka limbukeni, kutuletea ghasia Wanapita chini chini, kuwashawishi raia Waache kutia kani, hapa tulipofikia Sasa ni wakati wake, umoja wa kitaifa