zanzibardaima.net
Zanzibar: Kwa kujitangaza nchi, imekiuka katiba ya Muungano? 1
Na Joseph Mihangwa MAPEMA mwezi huu, Baraza la Wawakilishi limeifanyia marekebisho Katiba ya Zanzibar ya 1984, kuipa hadhi ya kuwa nchi (kamili) na kuondoa madaraka ya Rais wa Jamhuri wa Muungano w…